VIDEO: Wanaohamasisha mgomo kukiona cha moto Mwanza


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amepiga marufuki vikundi vya watu vinavyojitokeza kuhamasisha mgomo kwa wavuvi Ziwa Victoria kutokana na kushuka kwa bei ya samaki ambapo awali bei ilikuwa sh 7,500 kwa kilo na sasa imeshuka hadi kufikia sh 5,100 kwa kilo.

Pia amewaonya wamiliki wa viwanda kuhakikisha wanarudisha bei ya zamani kwani madai waliyotoa ya kushusha bei hiyo Serikali haikubaliani nayo na hawajaishirikisha katika hatua zote na kwamba wasipofanya hivyo Serikali itaamua vinginevyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE