Watatu wafariki kufuatia mvua kali na mafuriko

Watu watatu waripotiwa kufariki kutokana na mvua kali zilizosababisha mafuriko yaliopelekea maafa nchini Ufaransa.

Mafuriki hayo yametokea katika eneo la Aube Kusini mwa Ufaransa.

Kulingana na taarifa zilizotolewa na uongpozi wa  eneo hilo, watu watatu wamefariki katika  mjini Villardonnel na Villegailhenc.

Mvua kali  ambazo zmenyesha katika maeneo hayo  zimepelekea maji kujaa urefu wa mita moja na nusu.

Hali ya dharura imetangazwa katika eneo zima la Aube.