https://monetag.com/?ref_id=TTIb Waziri Mwakyembe awateua Wajumbe BASATA, Mwana FA na Richie ndani | Muungwana BLOG

Waziri Mwakyembe awateua Wajumbe BASATA, Mwana FA na Richie ndani

 Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe ameteua wajumbe watano wa BASATA  akiwema Msanii wa Bongo Flava Hamis Mwinjuma, Mwana FA pamoja na msanii wa Bongo Movie Single Mtambalike, Richie.