https://monetag.com/?ref_id=TTIb BOT: Kuna operesheni maalum Arusha | Muungwana BLOG

BOT: Kuna operesheni maalum Arusha



Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa taarifa kuhusu oparesheni ya kushtukiza ya kukagua maduka ya ubadilishaji fedha na baadhi ya maduka bubu ambayo hayana leseni lakini yalikuwa yakiendesha biashara hiyo kinyume na sheria.