Breaking News: Rais Magufuli amtumbua Balozi wa Tanzania nchini Canada



Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata.