Penzi kama lote: Ni Hamisa Mobetto na mpenzi wake mpya


Mwanamitindo,  Hamisa Mobetto baada ya kumtambulisha mpenzi wake amerudi tena kwa mara nyingine kwa kupost video ikimuonyesha akiwa na mpenzi wake.

Hamisa kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa penzi lake na mpenzi wake huyo ni raha sana.

"Ila Penzi Letu Raha Sana .Ila Me Bila Huyu Siwezi Jaman,Yani Apo Nimepakatwa, AnavyoNitazamaYaraab,' aliandika Hamisa Mobetto.


November 9,2018 Hamisa Mobetto alipost picha katika ukurasa wake wa Instagramu aliweka caption ikionyesha amepata mpenzi mpya akiwa nchini Marekani ambapo hadi sasa yupo nchini humo.