VIDEO: Full video: Polisi walivyoua Majamba 7


Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewaua majambazi saba katika pango la Kishiri yaliyopo katika mtaa wa Ihushi wilayani Nyamagana waliokuwa wakifanya vitendo vya kihalifu katika mikoa ya Mwanza Shinyanga, Geita na Simiyu na kukuta silaha za kivita na risasi 71.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE