VIDEO: Kauli ya Rais Magufuli baada ya Benki ya Dunia kuridhia kutoa Dola Milioni 300

Benki ya Dunia imeridhia kutoa Dola za Marekani Milioni 300 sawa na shilingi Bilioni 680.5 kwa Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza ubora wa elimu ya sekondari unaokusudiwa kujenga vyumba vya madarasa, mabweni, maabara, nyumba za watumishi na kununua vifaa vya kufundishia.

TAZAMA FULL VIDEO, PIA SUBSCRIBE