https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Makonda, Meya wa jiji watua stand ya Morogoro | Muungwana BLOG

VIDEO: Makonda, Meya wa jiji watua stand ya Morogoro


Leo Novemba 16 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiwa ameambatana na Mstahiki Meya wa jiji, Mamea wa Halmashauri na Madiwani wamefanya ziara Mkoani Morogoro kwenye Stand Mpya ya Mabasi ya Msamvu kujifunza namna stand hiyo imefanikiwa kuweka mazingira jumuishi kwa makundi yote wakiwemo wafanyabiashara na wasafiri.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE