VIDEO: Mwanajeshi Akamatwa na Madawa ya Kulevya Bunda 60


Polisi mkoani Manyara  inamshikilia mtu mmoja aliejitambulisha kama askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli  kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Mirungi bunda 60 sawa na kilo 20.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara , Agustino Senga  alimtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Abdul Bashiri Ali  (25) mkazi wa Monduli.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE........