VIDEO: Mapya yaibuka Disemba 9 vyama vya siasa 15 vyaungana,watoa tamko

Vyama vya siasa 15 upinzani leo Disemba 9 vimeungana kwa pamoja kupinga mabadili ya muswada wa sheria wa vyama vya siasa nchini na kutoa msimamo kwa msajili wa vyama wakimtaka afikilie upya swala hilo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE