.

12/06/2018

VIDEO: Cheki Simba walivyotua kibabe leo baada ya ushindi 4 - 0


Timu ya Simba SC leo Disemba 6  imetua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakitokea nchini Swaziland kwenye mchezo wa marudiano zidi ya Mbabane Swallows ambapo Simba ilishinda goli 4 - 0

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE