VIDEO: Diwani awapiga faini wazazi 8 waliowashawisha watoto kufeli mtihani


Diwani wa Kata ya Namiyonga wilayani Newala mkoani Mtwara, Ismail Ajabu amekili kuwachukulia hatua ya kuwapiga faini ya shilingi 50,000 kila mmoja wazazi 8 wa kijiji cha Mandumba Kata ya Namiyonga kwa kosa kuwashawishi watoto wao kufanya vibaya mtihani wa darasa la saba kwa makusudi kabisa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE