VIDEO: Jerry Muro atinga Hospitalini Usiku wa Manane Manesi wakimbia


Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro amefanya ziara ya kustukiza usiku wa manane katika hospitali mbili Za Wilaya kujionea hali ya utoaji wa huduma za Afya nyakati Za Usiku , ziara ambayo alianza saa Saba na nusu Usiku mpaka saa kumi na moja alfajiri.

Hatua ya Mhe Muro kufanya ziara ya kustukiza nyakati Za Usiku katika hospitali imekuja Kutokana na kuwepo Kwa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi ambao wameonyeshwa kukerwa na huduma duni Za Afya zinatolewa nyakati Za Usiku.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE