.

12/06/2018

VIDEO: Mtibwa Sugar wafuata nyayo za Simba watua Dar


Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar Kutoka Mkoani Morogoro imetua leo jijini Dar es salaam ikitokea nchini Seychelles ambapo walienda kukipiga na Northen Dynamo na kuibuka na ushindi wa goli 1 - 0.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE