.

12/06/2018

VIDEO: Mzee Akilimali aibuka aongoza Wazee, watoa onyo kwa viongozi 3 Yanga


Wazee wa Klabu ya Yanga jijini Dar es salaam wakiongozwa na Katibu wa wazee, Ibrahimu Akilimali wamewapa onyo wajumbe watatu wa klabu hiyo waliobaki madarakani kwa kitendo wanachodai kuwa wamekaidi maamuzi ya Serikali na vyombo vyake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE