1/14/2019

Matukio katika Picha; Ujenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma


Kinachoendelea kwenye ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji wa Serikali, Ihumwa Jijini Dodoma. Ujenzi huo unasimamiwa na Mkandarasi  Mzinga Holding Company.