Mpenzi wa BenPol afynguka walipokutana



Mpenzi wa Msanii wa Muziki Bongo, Ben Pol, Anerlisa ameweka wazi walipokutana na msanii huyo.

Anerlisa amesema kuwa walikutana na Msanii huyo mwaka jana mwenzi wa Tatu alipoenda kwenye Media Tour.

"We meet in March last year, when he become for a Media Tour, alisema Anerlisa.

Mpenzi wa BenPol ni mfanyabiashara kutokea Nchini Kenya.