.

1/12/2019

Picha: Dkt. Ndumbaro akutana na Kamati ya Bunge ya masuala ya Ukimwi


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na Kamati ya Bunge ya masuala ya Ukimwi.