.

1/14/2019

Picha: Naibu Waziri aagiza 'Injinia' kukamatwa na Polisi


Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso  ameliagiza jeshi la polisi wilayani Muleba
kumkamata na kuhoji Mhandisi wa maji halmashauri ya wilaya ya Muleba mkoani Kagera Bonephas Lukoho.
Hatua hiyo imefikiwa mara baada ya Mhandishi huyo  kupokea mradi wa Maji wa Katoke bila ya kukamilika na ukidaiwa kujengwa chini ya kiwango.