Picha: Rais Magufuli alivyoshuhudia makabidhiano ya mfumo wa kudhibiti mawasiliano

Tazama matukio katika picha:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. John Magufuli akishuhuda makabidhiano ya mfumo wa kuthibiti mawasiliano ya ndani na nje ya nchi (TTMS)