Loading...

1/14/2019

Picha ya Yai yavunja rekodi Instagram, yaongozwa kwa kupendwa


Mtandao wa kijamii wa Instagram ambao unashika kasi kwa kuwa na watumiaji wengi dunia, leo
unagonga vichwa habari kufuatia picha ya Yai iliyochapishwa kwenye mtandao huo.

Picha ya Yai iliyowekwa kwenye ukurasa unaofahamika kama World Record Egg imevuja rekodi
kwa kuwa picha iliyopendwa zaidi (likes) na wengi.

Ukurasa hao ulichapisha picha hiyo mapema Januari 4 mwaka huu imeweza kufikisha Likes (waliopenda) zaidi ya Milioni 23 ndani ya Siku tisa na kuwa picha ya kwanza kwenye mtandao huo kufanya hivyo.

Kutokana na hilo picha hiyo imevunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na mtoto wa Stormi Webster, Kylie ambaye picha ya kidole chake hadi sasa ikiwa na likes Milioni 18. 
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger