Ukiwa na mwanaume mzuri ugomvi kwa wanawake wenzio - Riyama Ally


Msanii wa Filamu Bongo, Riyama Ally amefunguka kuhusu uwepo wa usumbufu kwa mumewe.

Riyama amesema kuwa ukiwa na Mwanaume mzuri ugomvi kwa wanawake wenzio.

"Usumbufu upo ukiwa na mwanaume mzuri ugomvi kwa wanawake wenzio, hata kama unaiba jaribu kuwa mpole kwasababu unaweza kuwa mwizi alafu na wewe unaibiwa ndio maana lile neno 'Mdangaji kadangiwa'," alisema Riyama Ally kwenye EATV.