VIDEO: Arusha wampongeza Rais Magufuli kwa hili


Halmashauri ya Jiji la Arusha kupitia Mkuu wa Wilaya Mh Gabriel Daqaro wamelezea mafanikio walioyapata kwa kipindi cha miaka mitatu huku wakimpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwapelekea fedha za maendeleo.

Akizungumza na waa ndiishi wa habari, Daqaro amesema kuwa kwa upande wa elimu pamoja na afya wameleta maendeleo makubwa ambayo hayajawahi kutokea kwa kipindi chote.

Kwa upande wake  mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt  Selemani Madeni ameelezea mafanikio hasa kwa upande wa ukusanyaji wa mapato.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE