VIDEO: EXCLUSIVE: Brother K amkumbuka Mzee Majuto, akiri kumpenda Irene Uwoya

Msanii wa vichekesho kutoka kundi la Futuhi Andrew Ngonyani, Maarufu Brother K' ameeleza juu ya kumkumbuka Marehemu Mzee Majuto kutokana wosia aliopewa  kuepuka kuishi kwa kiki, ambapo pia amekiri kumpenda Irene Uwoya kutokana na jitihada anazofanya kwenye tasnia ya uigizaji filamu nchini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE