.

1/14/2019

VIDEO: Haji Manara afuata nyayo za Diamond na Mwana FA


Msemaji wa Simba Haji Manara ametangaza kuwa January 27, 2019 atazindua bidhaa yake mpya ya manukato (Perfume). Manara ameungana na wasanii wengine kama Diamond na Mwana FA ambao tayari wamewahi kuzindua bidhaa zao kama hizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE