.

1/14/2019

VIDEO: Kilio cha kocha wa JS Saoura chamfurahisha Haji Manara


Baada ya kocha wa klabu ya JS Saoura, Nabil Neghiz kulalamikia vyombo vya habari vya hapa nchini kumnukuu vibaya kwa kudai anaiogopa Simba kabla ya mchezo wao wa klabu bingwa Afrika, Haji Manara ametangaza kufurahishwa na hatua hiyo ya vyombo hivyo huku akisema jambo hilo ni lakiuzalendo kutokana na kuchangia kuwachangaja wapinzani wao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE