VIDEO: Kocha wa JS Saoura amfagilia Mr Uchebe wa Simba


Kocha wa JS Saoura ya Algeria, Nabil Neghiz amemfagilia kocha wa Simba Patrick Aussems maarufu kama Mr Uchebe kuwa ni kocha wake mzuri nchini Tanzania pia ni rafiki yake. Kocha Nabil ameongeza kuwa Simba inawachezaji wazuri na walikuwa pamoja katika maandalizi ya vikosi vyao nchini Uturuki.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE