VIDEO: Mambosasa amjibu Makonda sakata la kufanya kazi saa 24 Dar

Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Dar es salaam amesema tamko ya Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ya kufanya biashara kwa saa 24 litatekelezeka pale ambapo nguvu itaendelea hivihivi ya  kuimarisha ulinzi na usalama ambapo ni matokeo ya kazi nzuri ya jeshi la Polisi na wadau wote wanaosaidia jiji kuwa salama .

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE