VIDEO: Mr Uchebe atumia mbinu mpya Mapinduzi kwa ajili ya Waarabu


Baada ya usiku wa Ijumaa hii klabu ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao manne dhidi ya moja la Chipukizi katika kombe la Mapinduzi, kocha Patrick Aussems "Mr Uchebe" ameweka wazi mbinu yake ya kuwatumia wachezaji wake mastaa katika michuano hiyo. Aussems amesema kuwa atawatumia wachezaji wake kidogo kidogo kwenye kila mechi zilizobakia kabla ya kucheza na JS Saoura ya Algeria katika michuano ya klabu bingwa Afrika kwenye hatua ya makundi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE