.

1/13/2019

VIDEO: Polepole ajitosa jumla jumla, awajia juu wapinzani ''tunatengeneza hofu''

Katibu wa Itikani na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole leo Januari 12 amesema Mswada wa vyama vya siasa hauna lengo la kukiumiza chama chochote na sasa ndio kwanza upo kwenye maoni hivyo wadau wote waendelee kutoa maoni kwani ni haki ya kila raia kushiriki katika kutunga sheria.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE