.

1/12/2019

VIDEO: Shibuda ajilipua muswada wa vyama vya siasa''Sheria hii ni haramu, inaidhalilisha CCM''

Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini, John Shibuda amefunguka kuhusiana na muswada wa vyama vya siasa ambapo amesema sasahivi kuna unafiki wa kisiasa hivyo Tanzania isitunge sheria ya kuuwa vyama hivyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE