.

1/12/2019

VIDEO: "Siwezi kuruhusu kazi za nje, za kwetu ziwe tofauti" - Katibu Mtendaji TFB


 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo amedai kuwa ni jambo gumu kwake kuweza kuruhusu filamu za nje ziweze kuwekwa kwenye kipengele kimoja cha tuzo za Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF) huku filamu za Tanzania zikiwa kwenye kipengele cha peke yake katika . Katibu huyo amesema hayo wakati wa uzinduzi wa tuzo hizo katika ukumbi wa kuonyeshea filamu City Mall.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE