VIDEO: TFF watoa adhabu nzito kwa Singida na Nsajigwa, Timu nyingine yashushwa daraja


Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Boniface Wambura, ametangaza maamuzi ya kamati yao iliyokaa kujadili michezo ya ligi iliyopita pamoja na ile ya ligi daraja la kwanza. Katika maamuzi hayo Wambura ametangaza kufungiwa kwa mechi mbili kwa kocha msaidizi wa Singida United pamoja na faini ya shilingi laki tano pamoja na timu yake hiyo imepigwa faini ya laki mbili kutokana na baadhi ya makosa waliyofanya katika mchezo wao na Simba jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE