.

1/12/2019

VIDEO: Wazee wambana DC wataka majibu kisa...

Wazee wa Jiji la Arusha wamemhoji mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel  Daqaro kuhusu huduma ambayo wanaipata hospitalini ambapo wamedai haiendani na kile ambacho serikali imewaahidi kwa kuwa wamekuwa bado wananyanyaswa hivyo wakamtaka mkuu wa wilaya huyo kuwapa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE