VIDEO: Yusuph Mlela afunguka kuhusu tuzo za SZIFF, "Ni fursa kwetu kujifunza kupitia filamu za Nje"


Msanii wa filamu Bongo. Yusuph Mlela amefunguka kufurahishwa na kipengele kipya cha International Film Festival cha kwenye tuzo za SZIFF. Pia muigizaji huyo ameongeza kuwa hiyo ni fursa kwa wao kama wasanii kuweza kujifunza mambo mengi kupitia filamu za nje. Waandaaji wa SZIFF kushirikiana na Sinema Zetu wamekuwa wakizionyesha filamu kibao katika ukumbi wa sinema wa City Mall jijini Dar es Salaam tangu January 11, 2019 ili kutoa fursa kwa mashabiki kuweza kuwafahamu wasanii na kuweza kuwapigia kura kwenye tuzo hizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE