2/17/2019

Hii ndiyo ratiba ya mechi zijazo kwa Simba SC kabla ya kukutana na Waalgeria


Ratiba ya mechi zijazo za Simba SC, itakayo chuana na timu tofauti katika michuano ya  Ligi Kuu Bara

Jumanne, 19 February 2019
African Lyon vs Simba SC ( Arusha)

Ijumaa, 22 February 2019 "Big Match"
Azam FC vs Simba SC ( Taifa)

Jumanne , 26 February 2019
Lipuli FC vs Simba SC ( Samora )

Jumapili , 03 March 2019
Stand United vs Simba SC (Kambarage)

Baada ya michezo hiyo klabu ya Simba bila kuchelewa itarudi jijini Dar es Ssalaam tayari kwa maandalizi ya kuelekea nchini Algeria ambapo tarehe 09 Machi 2019 itashuka dimbani kukipiga na JS Saoura katika mchezo wa Klabu Afrika (CAfchampionLeague) saa 4 usiku.