Mamlaka ya Hali ya Hewa imetoa utabiri kuanzia usiku huu


Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Imetoa Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo tarehe 16/02/2019.