Matukio katika Picha: Mbao FC dhidi Yanga

Matukio katika picha mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Mbao FC dhidi ya Yanga katika uwanja wa CCM Kirumba jijini mwanza Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-1.