Picha: Dkt. Mwanjelwa aongoza kuuaga mwili wa aliyekuwa Wakala wa Misitu


Naibu Waziri  – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Glory Mziray ambaye ni Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) jijini Dar Es Salaam aliyefariki wakati akiongea na Waandishi wa Habari.


Mume wa Marehemu Grory Mziray akiwa na watoto wake wakilia kwa uchungu kufuatia kifo cha ghafla cha mke wake kilichotokea jumanne wiki hii akiwa kazini kwake