.

2/14/2019

Picha: Waziri Mwakyembe azindua nembo ya AFCON-U17


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo February 14,2019
amezindua nembo maalumu ya Fainali za Afrika za Vijana chini ya miaka 17 (AFCON-U17).

Fainali hizo zitafanyika April mwaka huu na Tanzania ikiwa nchi mwenyeji kupitia kikosi
chake cha Seregeti Boys.
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Miaka 17, Serengeti Boys inaendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa JMK Park kujiandaa na Fainali za Afrika kwa Vijana U17 (AFCON).