.

2/12/2019

Picha: Yanga SC wamesherehekea miaka 84 kwa mtindo huu


Hapo jana Klabu ya Yanga SC ilitimiza rasmi miaka 84 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1935. Yanga imefanikiwa kutwaa mataji 27 ya ligi kuu na ndio mabingwa wa kihistoria. Kombe la FA mara 4, na kombe la CECAFA mara 5. Hizi baadhi ya picha wachezaji wa Yanga SC walivyoipokea siku hiyo muhimu.