VIDEO: Kiongozi Chadema avuliwa Madaraka | Mbunge CCM atoa tamko hili


Mbunge wa Babati Mjini [CCM] Paulina Gekul  amezungumza baada ya mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Babati Mohammedi Kibiki [CHADEMA] kuvuliwa uenyekiti.
Akizungumza na Muungwana Tv kwa upande wake ameona ni sahihi hatua iliyochukuliwa na madiwani akiwemo yeye kama diwani.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU.......KUSUBSCRIBE.........