https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Makonda atinga hospitali Muhimbili, aguswa na hali ya Pascal wa BSS | Muungwana BLOG

VIDEO: Makonda atinga hospitali Muhimbili, aguswa na hali ya Pascal wa BSS

Leo Februari 21, mwaka  2019 Mkuu wa Mkoa  wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtembelea na kumjulia hali msanii wa muziki wa injili, Pascal Cassian na kusema kuwa jukumu la kuangalia wapi atatibiwa amewaachia madaktari wanaoendelea kumpima.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE