.

2/11/2019

VIDEO: Mazoezi ya Al Ahly uwanja wa Taifa ni moto, Simba wajipange


Klabu ya soka ya Al Ahly imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Taifa Jumatatu hii majira ya saa 10 jioni. Timu hiyo inatarajiwa kucheza na Simba katika mchezo wa hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE