VIDEO: Mchungaji acharuka Mtuhumiwa aliyeuawa na polisi kituoni/ Vilio vyatawala


Mchungaji wa kanisa la Kkkt Usharika wa Nkoanikoli Wilayani Arumeru, Arusha amelaani kitendo alichofanyiwa marehemu Richard Peter February 7, 2009 cha kuuawa na polisi wakati akiwa bado anategemewa. Pia mchungaji huyo ameshangazwa na kauli ya polisi inayodai kuwa kijana huyo alikuwa jambazi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE