.

2/05/2019

VIDEO: Patrick Aussems alivyojitetea kipigo cha goli 5-0/ Apanga kufanya maajabu Taifa


Kocha wa Simba Patrick Aussems amejitetea baada ya kipigo cha goli 5-0 kutoka kwa Al Alhy kwenye mchezo wa makundi wa klabu bingwa Afrika. Ausssems amesema kuwa michezo ya Al Ahly na As Vita imekuwa migumu kwao lakini cha umuhimu zaidi wamebakiza michezo mitatu ambapo miwili watacheza nyumbani na mmoja ugewnini dhidi ya JS Saoura. Ameongeza pia kwenyempira chochote kinaweza kutokea.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE