https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Patrick Aussems atema cheche baada ya ushindi na Mwadui/ Afunguka viporo vilivyobakia | Muungwana BLOG

VIDEO: Patrick Aussems atema cheche baada ya ushindi na Mwadui/ Afunguka viporo vilivyobakia


Kocha wa Simba Patrick Aussems amefunguka kuhusu matokeo ya ushindi wa mabao 3-0 aliyoyapata kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mwadui. Pia kocha huyo amezungumzia kuhusu michezo yao saba ya viporo iliyobakia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE