.

2/11/2019

VIDEO: Polisi waua Majambazi Dar

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewaua majambazi wawili na kufanikiwa kukamata silaha moja aina ya Chines Pistol, risasi tatu na maganda manne ya risasi aina ya Chines Pistol.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE