.

2/07/2019

VIDEO: RC Mwanri acharuka, "Rais Magufuli Aliniteua Nikasema Amina"


Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrrey Mwanri akizungumza katika maazimisho ya wiki ya sheria kwa kuwataka  watumishi wa umma ambao wamepewa dhamana  ya utoai haki kwa wananchi kuwajibika na ipasavyo kwa kufanya kazi kwa weledi bila kuonea mtu yeyote.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE...........